MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – 10 POST

- Advertisement -
POSTMSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – 10 POST
EMPLOYERHalmashauri ya Wilaya ya Kyela
APPLICATION TIMELINE:2024-10-21 2024-11-03
JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIESKusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo    katika eneo lake,ii) Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala     ya maendeleo katika eneo lakeiii) Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo.iv) Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake,v) Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila     mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi,vi) Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo.vii) Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia      fursa na rasilimali zinazowazunguka.viii) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (Sociology, Masomo ya Maendeleo (Development Studies),Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management),Jinsia na Maendeleo (Gender and Development),Rural Development, Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii. 
REMUNERATIONTGS B

cLICK HERE to Apply

- Advertisement -

Apply now

Are interested with this position please Click the button below to apply Now

About the role

Job posted

Job type

Salary

TZS

Job Category

Required skills

Location

Similar Articles

Discover more admission news below