POST | MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 1 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Songwe |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-03-21 2024-04-03 |
JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri; ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa; iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine; iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi; - Advertisement - v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika; vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika; vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali; viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 80 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGS C |
MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 1 POST
- Advertisement -
- Advertisement -
Find the latest University Admission News below
IFM Selected Applicants for the 2024/2025 Academic Year
Every year, the Institute of Finance Management (IFM) conducts a...
MUST Selected Applicants for the 2024/2025 Academic Year
Mbeya University of Science and Technology (MUST) is pleased to...
ARU Selected Applicants for the 2024/2025 Academic Year
Ardhi University (ARU) releases the List of applicants selected to...
The List of UoA Selected Applicants for 2024/2025
The list of selected applicants for the 2024/2025 academic year...
CAWM -MWEKA Selected Applicants for the 2024/2025 Academic Year
The list of selected applicants for the 2024/2025 academic year...
SUA Selected Applicants for the 2024/2025 Academic Year
The admission and selection process at Sokoine University of Agriculture...
Get Notified
Get Notified about latest articles published on Ajirakazi.co.tz
Similar Articles
Discover a wide range of job listings across various sectors below