POST | MSAIDIZI AFYA YA MAZINGIRA II (ENVIROMENTAL HEALTH ASSISTANT II) – 2 POST |
EMPLOYER | Mkoa wa Arusha |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-07-07 2024-07-20 |
JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa. ii.Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa. iii.Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza. iv.Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha katika mamlaka husika. - Advertisement - v.Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho ili kuchukua hatua zinazostahili. vi.Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii. vii.Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama na afya ya jamii. viii.Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo. ix.Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira. x.Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi ya Kata. xi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Astashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGHS A |
- Advertisement -
- Advertisement -
Find the latest University Admission News below
IFM Selected Applicants for the 2024/2025 Academic Year
Every year, the Institute of Finance Management (IFM) conducts a...
MUST Selected Applicants for the 2024/2025 Academic Year
Mbeya University of Science and Technology (MUST) is pleased to...
ARU Selected Applicants for the 2024/2025 Academic Year
Ardhi University (ARU) releases the List of applicants selected to...
The List of UoA Selected Applicants for 2024/2025
The list of selected applicants for the 2024/2025 academic year...
CAWM -MWEKA Selected Applicants for the 2024/2025 Academic Year
The list of selected applicants for the 2024/2025 academic year...
SUA Selected Applicants for the 2024/2025 Academic Year
The admission and selection process at Sokoine University of Agriculture...
Get Notified
Get Notified about latest articles published on Ajirakazi.co.tz
Similar Articles
Discover a wide range of job listings across various sectors below