- Advertisement -
POST | MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 6 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Kyela |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-10-21 2024-11-03 |
JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; naix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGS.C |
- Advertisement -