DEREVA DARAJA II(RE-ADVERTISED) – 4 POST AT Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

- Advertisement -
POSTDEREVA DARAJA II(RE-ADVERTISED) – 4 POST
EMPLOYERHalmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
APPLICATION TIMELINE:2024-10-14 2024-10-27
JOB SUMMARYNIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIESKukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;Kufanya usafi wa gari; naKufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCEMwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. 
REMUNERATIONTGS B

APPLY HERE

- Advertisement -

Apply now

Are interested with this position please Click the button below to apply Now

About the role

Job posted

Job type

Salary

TZS

Job Category

Required skills

Location

Similar Articles

Discover more admission news below