- Advertisement -
POST | MTEKNOLOGIA MSAIDIZI DARAJA LA II – MAABARA (ASSISTANT LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 10 POST |
EMPLOYER | Mkoa wa Arusha |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-07-07 2024-07-20 |
JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kuandaa vitendanishi (reagents) vya kufanyia vipimo vya Maabara. ii.Kufanya kazi za awali sampuli zinazoletwa maabara. iii.Kukusanya damu kutoka kwa wagonjwa na watu wanaojitolea. iv.Kurekodi matokeo ya vipimo kwenye regista. - Advertisement - v.Kutayarisha vifaa vya kazi. vi.Kuhifadhi kwa mujibu wa taratibu sampuli zote zinazohitaji kuhifadhiwa baada ya uchunguzi. vii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Muombaji mwenye cha Astashahada katika fani za Maabara kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Wataalam wa Maabara. |
REMUNERATION | TGHS A |
- Advertisement -