More

    MTENDAJI WA KIJIJI III – 20 POST AT Halmashauri ya Wilaya ya Hanang

    Nafasi za kazi na Ajira mpya

    - Advertisement -
    POSTMTENDAJI WA KIJIJI III – 20 POST
    EMPLOYERHalmashauri ya Wilaya ya Hanang
    APPLICATION TIMELINE:2024-10-22 2024-10-31
    JOB SUMMARYNIL
    DUTIES AND RESPONSIBILITIESAfisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji;Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji;Kuratibu na kusimamia upangaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji;Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji;Kutafsiri na Kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali;Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya klitaalam katika kijiji;Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji;Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika kijiji;Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi;Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za kijiji; na Atawajibika kwa Mtendaji Mkuu wa Kata.
    QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
    REMUNERATIONTGS B
    - Advertisement -

    Get Notified

    Get Notified about latest articles published on Ajirakazi.co.tz

    About this Article

    Published date

    Category

    Tags

    Similar Articles

    Discover a wide range of job listings across various sectors below

    ASSISTANT PRODUCER II (NEWS WRITING) – 3 POST AT Hospitali ya...

    Read more

    Full timeDRIVER

    MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – 10 POST

    Full timecommunity development

    Full timeAdministrationBusiness Administration

    Full time

    Full timeAdministration